WAZIRI AWESO AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MAJI INDIA KUSHIRIKIANA KUBORESHA MIRADI YA MAJI

Na Mwandishi Wetu-India Waziri wa Maji Jumaa Aweso  amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Maji wa Jamhuri ya Watu wa India  Hon. Gajendra Singh Shekhawat lengo likiwa ni kuleta salam za Shukrani kwa Serikali ya India kutokana na sapoti pamoja na mikopo nafuu inayotolewa kwa Serikali ya Tanzania kutekeleza miradi mbalimbali Nchini ikiwemo mradi